ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Uzinduzi wa mwaka wa wanawake 2022,KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki

  • Print
Details
Published: 06 March 2022

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ameipongeza Idara ya Wanawake na Watoto kwa  mipango mizuri iliyojiwekea katika mwaka  wa wanawake 2022 ambapo amesema kuwa endapo itasimamiwa kwa umakini italeta tija kwenye Idara hiyo na Dayosisi kwa Ujumla.

Hits: 15922

Read more ...

Kampeni ya Onesha Upendo kwa Vitendo-Utume Fm

  • Print
Details
Published: 03 March 2022

Zoezi la kuchangia damu lililo andaliwa na kituo  cha redio Utume Fm kinachomilikiwa na KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kimefanikiwa kukusanya chupa 25 katika Wilaya ya Lushoto mjini.
Hili linajiri wakati ambapo upungufu unashuhudiwa katika benki ya damu Wilayani Lushoto.

Hits: 14505

Read more ...

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu atoa maagizo kwa Wakuu wa Majimbo.

  • Print
Details
Published: 27 February 2022

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewapa maagizo wakuu wa majimbo kusimamia shughuli nzima ya zoezi la kuhakikisha kila kijana anachangia bati moja katika ujenzi wa shule ya Bangala Lutheran Junior Seminary pia amewataka vijana watumie tamasha hilo kuunganisha mahusiano yao kwa kunyanyuana kiuchumi sambamba na kurudi kwa Mungu.

Hits: 15872

Read more ...

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu atoa wito juu ya utunzaji wa mazingira

  • Print
Details
Published: 22 February 2022

Mungu aliuumba ulimwengu mzuri na kutupa jukumu la kuutunza bila kujali dini yoyote kwani yakitokea madhara yanayo sababishwa na uharibifu wa mazingira huadhiri jamii nzima hayo yamesemwa na Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 49  wa kujenga mahusiano mema kati ya Dini za Kiyahudi, Kikristo na Kiislamu( JCM), uliofunguliwa leo tarehe 22/02/2022 kwenye ukumbi wa Benjamin Mkapa SEKOMU.(JCM) ilianzishwa mnamo mwaka 1960, washiriki wakiwa ni Wakristo,Wayahudi na Waislam,lengo likiwa ni kuiasa jamii kutunza mazingira na kupambanua changamoto ya mabadiliko ya tabia ya Nchi.

Hits: 15179

Read more ...

  1. Tamati ya juma la vijana Kanisa Kuu Lushoto
  2. Mkuu wa Wilaya ya Lushoto atoa wito kwa viongozi wa dini
  3. Ibada ya kuingizwa kazini,Katibu Mkuu,Mkurugenzi wa fedha pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki
  4. Semina elekezi

Page 88 of 137

  • 83
  • 84
  • ...
  • 86
  • 87
  • 88
  • 89
  • ...
  • 91
  • 92

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese