ELCT North Eastern Diocese
Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Poland
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu yupo katika ziara ya kikazi Nchini Poland ambapo anahudhuria mkutano wa kamati ya Ibada na Muziki ya Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF) unaofanyika kwenye mji wa Krakow kwaajili ya kuandaa Mkutano Mkuu utakaofanyika Nchini Poland mwaka 2023.
- Hits: 14391
Dean Michael Kanju awashukuru washarika wa Makorora
- Details

Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Michael Mlondakweli Kanju amewashukuru Washarika wa Makorora na kipekee wana Dayosisi kwa ujumla kwa jinsi wanavyoendelea kuuombea uongozi na Dayosisi.
- Hits: 15752
Ibada ya mazishi ya Bibi,Neema Silas Jengo
- Details

Naye atafuta kila chozi katika macho yao,wala mauti haitakuwepo tena,wala kilio,wala maumivu hayatakuwepo tena, kwa kuwa mambo ya kwanza , yamekwisha kupita UFUNUO 21:4.
- Hits: 16151
Ufunguzi wa mkutano wa wachungaji wanawake na mashemasi KKKT-DKMs
- Details

Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Michael Mlondakweli Kanju, amewapongeza na kuwashukuru wachungaji na mashemasi wanawake wa KKKT-Dayosisi ya kaskazini mashariki kwa huduma nzuri wanayofanya ndani ya Dayosisi,sharika na vituo mbalimbali walivyopangiwa.
- Hits: 15728
Page 87 of 137

