ELCT North Eastern Diocese
Warsha ya usambazaji mpango mkakati wa KKKT (2022-2026)
- Details

KKKT katika kutimiza wajibu wa kuwahudumia watu wake imekuwa ikitekeleza shughuli mbalimbali tangu kuanzishwa kwake kupitia mipango mbalimbali,mojawapo ya mipango hiyo ni mpango wa 2015 - 2026 ambao umefanyiwa tathmini na kupata mpango mpya wa 2022- 2026.
- Hits: 15354
Ujenzi wa Bwalo la chakula kuanza mara moja Bangala
- Details

Askofu Mstaafu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mzee Joseph Jali ametoa wito kwa wana KKKT-DKMs,ndugu, jamaa na marafiki waliopo ndani na nje ya Dayosisi kuingia kazini ili kukamilisha ujenzi wa bwalo la chakula katika shule ya Bangala Lutheran Junior Seminary ulio simama kwa takribuni miaka 20.
- Hits: 15018
Ibada ya mazishi ya Bibi, Mary Shebila
- Details

Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho wapate kupumzika baada ya taabuzao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nayo.
- Hits: 14842
Mwendelezo wa ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu
- Details


Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu leo tarehe 21/01/2022 amekuwa na mwendelezo wa ziara ya kikazi katika Jimbo la tambarare na ameongoza kikao kazi kilichofanyika katika Usharika wa Korogwe, kikao hicho kilijumuisha Wachungaji, Mashemasi pamoja na wainjilisti wa KKKT-DKMs Jimbo la tambarare.



- Hits: 13348
Page 90 of 137

