ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Tanzia-Baba mzazi wa Askofu , Dkt. Alex Gehaz Malasusa amefariki

  • Print
Details
Published: 09 December 2021
Baba mzazi wa Askofu wa KKKT - Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Mch. Gehaz Malasusa amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 8, Disemba 2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.
Hits: 16246

Read more ...

Heri ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.

  • Print
Details
Published: 09 December 2021

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, anawatakia waumini na Watanzania wote kwa ujumla, heri na fanaka katika kuenzi kumbukizi ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.

Hits: 15592

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Mtonga , Youths Confirmation at Mtonga Lutheran Parish

  • Print
Details
Published: 04 December 2021

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu, leo tarehe 04/12/2021 ameongoza Ibada ya kipaimara ambapo vijana wapatao 109 walibarikiwa na wanne kati yao walibatizwa katika Ibada iliyofanyika  Usharika wa Mtonga.

Hits: 15469

Read more ...

Mhandisi Robert Kitundu Katibu Mkuu mpya KKKT

  • Print
Details
Published: 03 December 2021

Mhandisi Robert Kitundu ameanza kazi rasmi kama Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT, akichukua nafasi ya ndugu Brighton Kilewa ambaye amestaafu.

Akizungumza wakati wa kumtambulisha Katibu Mkuu huyo mpya kwenye Ofisi za Makao Makuu ya KKKT yaliopo Arusha, Mkuu wa KKKT na Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini, Mch Dkt. Fredrick O. Shoo amemtaka Katibu Mkuu huyo kufanya kazi kwa nguvu na kwa uaminifu akishirikiana na watendakazi wa Ofisi Kuu ya KKKT ili kuendelea kulijenga Kanisa la Mungu.

Katibu Mkuu huyo wa KKKT, Mhandisi Robert Kitundu amelishukuru Kanisa kwa kumuamini na kumpa nafasi hiyo na kuahidi kufanya kazi kwa uaminifu na ushirikiano ili kutimiza kusudi la Mungu.

Akizungumza kwa niaba ya watendakazi wa Ofisi Kuu ya KKKT, Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii, Wanawake na Watoto Mch. Rachel Axwesso amesema kuwa watendakazi wa Ofisi Kuu watampa ushirikiano Katibu Mkuu mpya katika utendajikazi wake na kuhakikisha kuwa shughuli zote za Ofisi Kuu zinatimizwa inavyotakiwa.

Katibu Mkuu Mstaafu wa KKKT, ndugu Brighton Killewa anastaafu huku akiwa amelitumikia Kanisa kwa muda wa miaka 16 katika nafasi ya Katibu Mkuu wa KKKT tangu alipoingia kazini mwaka 2005.

Hits: 17057
  1. Njooni tumwimbie BWANA wimbo mpya
  2. Tamati ya Ziara ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu katika Jimbo la Pwani.
  3. Ibada ya uwekwaji wa jiwe la msingi na ufunguzi wa darasa la Watoto wa shule ya Jumapili
  4. Bwana analijia Kanisa lake.

Page 95 of 137

  • 90
  • 91
  • 92
  • 93
  • 94
  • 95
  • 96
  • 97
  • 98
  • 99

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese