ELCT North Eastern Diocese
Ibada ya Kipaimara Usharika wa Kabuku Youths Confirmation at Kabuku Lutheran Parish
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu amewataka vijana waliopokea kipaimara kusimama imara katika mafundisho sahihi ya neno la Mungu waliyofundishwa kupitia katekisimo ndogo ya Martin Luther, na kamwe wasiyumbishwe na dunia wala mtu yoyote bali wabaki katika Kanisa na zaidi sana waache yale yasiyo mpendeza Mungu,ili mwisho wa maisha haya pamoja na wengine waweze kuwa na sehemu ya kuurithi uzima wa milele.
- Hits: 16306
Ibada ya Jumapili Kanisa Kuu Lushoto
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amezindua na kushirikisha Washarika nakala ya taarifa ya ukaguzi wa hesabu za Dayosisi zilizokuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na Waumini wa KKKT-DKMs.
- Hits: 16248
Mahafali ya 32 ya kidato cha nne Shule ya Sekondari ya Lwandai
- Details

Leo tarehe 16 Oktoba 2021 kumefanyika mahafali ya 32 ya kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Lwandai inayomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ambapo wanafunzi 41 (wavulana 23 na wasichana 18 ) wamehitimu. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa ni Mhasham Askofu, Dkt Msafiri Joseph Mbilu aliyewakilishwa na Msaidizi wa Askofu , Mchungaji Michael Mlondakweli Kanju. Mahafali hayo yalifana sana yakipambwa na vishirikisho mbalimbali toka kwa wahitimu na wanafunzi wengine.

- Hits: 19148
Kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa
- Details

Kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922-1999 (Nyerere Day)
- Hits: 16137
Page 102 of 137

