ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Ibada ya Jumapili Usharika wa Bumbuli Jimbo la Kusini

  • Print
Details
Published: 26 September 2021

Askofu wa KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu leo tarehe 26/09/2021, amejumuika na Washarika wa Usharika wa Bumbuli Jimbo la Kusini katika Ibada ya Jumapili, Ibada hiyo ilikuwa na matukio mbalimbali.

Hits: 16924

Read more ...

Ibada ya Jumapili Usharika wa Soni Mtaa wa Kwang'wenda

  • Print
Details
Published: 19 September 2021

 Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu leo tarehe 19/09/2021 ameongoza Ibada ya Jumapili katika Usharika wa Soni Mtaa wa Kwangwenda, Ibada hii ilikuwa na tukio la Uwekwaji wa jiwe la msingi la kanisa  pamoja na harambee ya ujenzi wa Kanisa la mtaa wa kwang’wenda.

Katika harambee hio Jumla ya  shilingi milioni kumi na moja hamsini na moja elfu na miatano hamsini (11,051,550)  ilipatikana kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa hilo lililowekewa jiwe la msingi.

Hits: 15530

Read more ...

PICHA RASMI YA ASKOFU: Dkt. Msafiri Joseph Mbilu

  • Print
Details
Published: 13 September 2021

Picha rasmi ya Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ,wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, nakala halisi iliyochapishwa Inapatika Makao Makuu ya KKKT-DKMs. Kwa mawasiliana wasiliana nasi kupitia  This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au 0764105944/0655449481

Picha hii ndio itatumika katika Ofisi zote za Sharika za KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki

Hits: 15887

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Kisosora,Youths Confirmation at Kisosora Lutheran Parish.

  • Print
Details
Published: 12 September 2021

Leo tarehe 12/09/2021 imekuwa siku ya baraka kwa washarika wa Usharika wa Kisosora Jimbo la Pwani. Ambapo imefanyika Ibada iliyokuwa na matukio mbalimbali vijana wapatao 19 wamepata kipaimara na wawili kati yao walibatizwa.

Hits: 16493

Read more ...

  1. Nafasi za masomo Seminari ndogo ya Bangala
  2. Ziara ya kikazi Shule ya Sekondari Lwandai
  3. JUBILEE YA MIAKA 30 YA WACHUNGAJI WANAWAKE 1991-2021
  4. Ziara ya Mch.Dkt.Ulrich Mouller KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki

Page 104 of 137

  • 99
  • ...
  • 101
  • 102
  • 103
  • 104
  • ...
  • 106
  • 107
  • 108

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese