ELCT North Eastern Diocese
Ibada ya sikukuu ya Mavuno KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,Jimbo la Pwani, Usharika wa Kana.
- Details

Leo tarehe 10/10/2021 Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu ameongoza Ibada ya sikukuu ya mavuno, katika Jimbo la Pwani, Usharika wa Kana.

- Hits: 17437
Ibada ya mazishi ya Mchungaji Mstaafu Elihudi Efrahimu Sekumbo
- Details

Naye atafuta kila chozi katika macho yao,wala mauti haitakuwepo tena,wala kilio,wala maumivu hayatakuwepo tena, kwa kuwa mambo ya kwanza , yamekwisha kupita UFUNUO 21:4.
- Hits: 17172
Tangazo la nafasi ya kazi
- Details

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Inatangaza Nafasi moja ya Kazi ya KATIBU WA AFYA WA DAYOSISI.
- Hits: 15406
Page 103 of 137


