ELCT North Eastern Diocese
Benki ya CRDB yafungua rasmi tawi lake katika Wilaya ya Lushoto
- Details
KATIKA PICHA: Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wilayani Lushoto uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Omary Tebweta Mgumba leo tarehe 29/08/2022. Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu alishiriki katika ufunguzi huo.Tawi hilo la Bank ya CRDB lipo katika jengo linalomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
MKUU WA MKOA WA TANGA MHE. OMARY TEBWETA MGUMBA akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Tawi la CRDB Lushoto.
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akitoa salamu za Dayosisi na kufungua kwa maombi shughuli za ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Lushoto.
- Hits: 13593
Ibada ya Kipaimara Usharika wa Kisosora Youths Confirmation at Kisosora_Lutheran _Parish
- Details
KATIKA PICHA: Ibada ya Jumapili ya leo tarehe 28/08/2022 iliyofanyika katika Usharika wa Kisosora Jimbo la Pwani na kuongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.Ibada hiyo ilkuwa na tendo la kuwabariki vijana wa kipaimara kumi na moja (11) na wawili (2) kati yao walibatizwa.

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akimbariki mmoja wa vijana waliopokea Kipaimara.
- Hits: 12271
Katibu Mtendaji Fedha na Utawala wa UEM akutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa KKKT-DKMs
- Details
Katibu Mtendaji Fedha na Utawala wa UEM ndugu Timo Pauler amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.Ambapo pia alipata nafasi ya kutembelea baadhi ya Sharika na Vituo ndani ya Jimbo la Pwani.
Katibu Mtendaji Fedha na Utawala wa UEM Ndugu Timo Pauler, akisaini kitabu cha wageni katika Usharika wa Mikanjuni Jimbo la Pwani.
- Hits: 12048
Endeleeni kuchangia deni la Dayosisi Msirudi nyuma.
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewashukuru Washarika wa Usharika wa Kange Mtaa wa Maweni kwa namna wanavyo jitoa katika kazi za umoja.
- Hits: 12738
Page 73 of 137


