ELCT North Eastern Diocese
Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Jijini Dar es salaam
- Details

Leo tarehe 05/09/2022 Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amefanya ziara rasmi ya kikazi Jijini Dar es Salaam na amepata nafasi ya kufanya mazungumzo na Mzee Yusufu Makamba pamoaja na Canal Mstaafu Peter Sameji ambaye ni mjumbe wa Kamati ya wana KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, waishio Jijini Dar es Salaam. Lengo la ziara hii ni kwa ajili ya maendeleo ya Chuo cha Kolowa Technical Training Institute (KOTETI).
- Hits: 13588
Pongezi kwa Washarika wa Usharika wa Shume Uchangiaji wa Deni la Dayosisi
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewashukuru Washarika wa Usharika wa Shume kwa mambo mengi na mazuri wanayoyafanya ya kuijenda Dayosisi na kipekee mchango mkubwa ambao wanaendelea kuutoa kwaajili ya uchangiaji wa Deni la Dayosisi.
- Hits: 12897
Askofu Dkt. Msafiri Mbilu aongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa
- Details
"Pandeni milimani, Mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema Bwana".Hagai 1:8. Leo tarehe 03/09/2022 Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ameongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa katika Usharika wa Kabuku, Jimbo la Tambarare. Askofu Dkt. Msafiri Mbilu alianza harambee hiyo kwa kutoa kiasi cha Tsh. 200,000/= (LAKI MBILU). Baada ya harambee yote kufanyika kiasi cha Tshs. 17,695,000/= kilipatikana Ikiwa ni fedha taslimu Tshs. 14,695,000/ huku ahadi ikiwa Tshs. 3,000,000/=

- Hits: 12367
Mwili wa Mama Hilda Julius Lugendo wazikwa Wilayani Muheza
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akisaini kitabu cha maombolezo.
Naye atafuta kila chozi katika macho yao,wala mauti haitakuwepo tena,wala kilio,wala maumivu hayatakuwepo tena, kwa kuwa mambo ya kwanza , yamekwisha kupita UFUNUO 21:4.

- Hits: 14346
Page 72 of 137

