ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

ASKOFU DKT. MBILU: Tujifunze kuomba kwa usahihi.

  • Print
Details
Published: 14 May 2023

 

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewakumbusha Washarika wa Usharika wa Kana na Wakristo kwa ujumla, kuendelea kuomba neema ya Mungu iwaongoze katika kuomba kwa usahihi kama Kristo Yesu alivyo wafundisha wanafunzi wake katika Sala ya Bwana.

Askofu Dkt. Mbilu ametoa wito huo leo tarehe 14/05/2023 wakati akihubiri katika Ibada ya Jumapili ya tano baada ya Pasaka (Rogate) iliyofanyika katika Jimbo la Pwani Usharika wa Kana, ambapo amesema  kwa sasa kumekuwa na uwepo wa walimu wanaofundisha mafundisho potofu yanayo wafanya Wakristo kushindwa kuomba kwa usahihi.

Hits: 13174

Read more ...

Mkutano wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani,kanda ya Afrika

  • Print
Details
Published: 11 May 2023

 

KATIKA PICHA ni Ujumbe kutoka Tanzania uliohudhuria Mkutano wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani. Katikati ni Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Fredrick Shoo, kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa LWF Mch. Dkt.. Anne Burghadt akifuatiwa na Rais wa LWF Archibishop Musa Panti Filibus.

Hits: 11623

Read more ...

Miaka miwili ya Uongozi wa Askofu Dkt. Mbilu awashukuru wana KKKT-DKMS

  • Print
Details
Published: 09 May 2023

Mei 9 mwaka 2021 ilikuwa ni siku iliyotawaliwa na nderemo, vifijo na shamrashamra katika viunga vya Lushoto, siri nyuma ya furaha hii si nyingine bali ni historia mpya kuandikwa, wakristo wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki walipata Askofu mpya, kiongozi ambae atayabeba maono na dira ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki huyu sio mwingine bali ni Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.Mhadhiri huyo mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Silliman cha nchini Ufilipino, aliingizwa kazini katika Ibada iliyofanyika  Kanisa Kuu Lushoto tarehe 09/05/2021 na kisha yeye kumuingiza kazini msaidizi wake, Mch. Michael Mlondakweli Kanju.

Hits: 10382

Read more ...

Kauli ya Mkuu wa KKKT juu ya Ubadhirifu Serikalini

  • Print
Details
Published: 08 May 2023

 

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo, ameishauri serikali kushughulikia kwa ukali tuhuma za ubadhirifu zinazosikika kuiandama miradi mikubwa yenye manufaa kwa taifa. Askofu Dkt. Shoo pia amesema Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania haliungi mkono vitendo vya ushoga na ndoa za jinsia moja na halitoacha kutumia rangi za upinde wa mvua kwenye nembo yake kwa kuwa "ni agano la Mungu".

Hits: 10310

Read more ...

  1. Ibada ya Jumapili Usharika Mteule wa Nywelo.
  2. Askofu Dkt. Mbilu azindua mradi wa maji awasihi wanakijiji kutunza miundombinu.
  3. EMPLOYMENT OPPORTUNITY, Monitoring and Evaluation Officer
  4. Employment Opportunity, Farm Manager

Page 54 of 137

  • 49
  • ...
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • ...
  • 56
  • 57
  • 58

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese