ELCT North Eastern Diocese
Ungana nasi kuchangia Deni la Dayosisi
- Details
Katika kuungana kwa pamoja kuchangia DENI linaloikabili KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ili kunusuru mali zake zisipigwe mnada sasa unaweza kutumia namba hizi za simu kutoka mitandao ya Airtel Vodacom na Tigo kutuma mchango wako.



- Hits: 9850
Awamu ya tatu uchangiaji deni la Dayosisi kunusuru mali zisipigwe mnada
- Details

Askofu wa KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewashukuru wana KKKT-DKMs pamoja na wadau wa maendeleo kwa namna walivyo jitoa na wanavyo endelea kujitoa katika uchangiaji wa deni linaloikabili Dayosisi.
- Hits: 10687
Page 50 of 137







