ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Maadhimisho ya miaka 60 ya KKKT Askofu Dkt. Mbilu awasihi wana KKKT kuliombea Kanisa

  • Print
Details
Published: 18 June 2023

Hits: 11332

Read more ...

Askofu Dkt. Mbilu atoa wito kwa wazazi na walezi kutuma vijana wao KOTETI

  • Print
Details
Published: 18 June 2023

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ametoa wito kwa wazazi na walezi kutuma vijana wao kujiunga na masomo katika  Taasisi ya elimu ya Kolowa Technical Training Institute (KOTETI) na kuongeza kuwa ni vema kutumia muda huu ambao Taasisi ya KOTETI inaendelea kufanya udahili kwa kutuma maombi yao ilikujiunga na Taasisi hiyo.

Hits: 10305

Read more ...

Kiongozi wa mbio za Mwenge 2023 aridhishwa na ujenzi wa choo katika Shule ya Msingi Lushoto.

  • Print
Details
Published: 14 June 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imeupokea Mwenge wa uhuru leo tarehe 14/06/2023 ukiongozwa na kiongozi wa mbio za Mwenge 2023, Ndg Abdalla Shaib Kaim huku akikagua na kufungua miradi mbalimbali.

Ndugu Abdalla Shaib Kaim aliridhishwa na ujenzi wa choo cha matundu sita kinachojengwa katika Shule ya Msingi Lushoto, ambapo mara baada ya kukagua nyaraka za ujenzi huo aliridhia kuweka jiwe la Msingi.

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu alikua miongoni mwa viongozi wa Wilaya ya Lushoto katika kupokea mwenge huo na alipata wasaa wa kufanya maombi na kutoa baraka zake kwa viongozi hao wa Mwenge.

Askofu Dkt. Msafiri Mbilu akisalimiana na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Ndg. Abdalla Shaib Kaim.

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akifanya maombi na viongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023.

Sehemu ya faida za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na Kimataifa ni pamoja na kuendelea kuhamasisha ari ya wananchi kujitegemea na kuwekeza katika maeneo mbalimbali katika Taifa letu. Kauli Mbiu katika Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2023 ni “Tunza Mazingira, Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe Hai na Uchumi wa Taifa.”

Hits: 11332

Safari ya mwisho ya Mzee Karata mwili wali wake waziku Old Korogwe-Tanga

  • Print
Details
Published: 13 June 2023

PICHA ZA MATUKIO mbalimbali ya Ibada ya Mazishi ya Marehemu Mzee Moses Gao Karata, yaliyofanyika leo tarehe 13/06/2023 katika Jimbo la Tambarare Usharika wa Mtonga, Ibada imeongozwa na Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Michael Kanju akishirikiana na Mkuu wa Jimbo la Tambarare, Mch Frank Mtangi.

Hits: 10138

Read more ...

  1. TANZIA- Baba Mzazi wa Mchungaji William Karata wa Usharika wa Mtonga amefariki dunia
  2. Matukio katika picha.
  3. Askofu Dkt. Mbilu apokea ugeni kutoka Vyuo vitano ,vya Muhimbili(MUHAS),KCMC/KCMU,Chuo cha Kenyata
  4. Askofu Dkt. Mbilu awataka wakristo kukemea matendo maovu  yanayojitokeza katika jamii

Page 51 of 137

  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • ...
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • ...

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese