ELCT North Eastern Diocese
Salamu za Pasaka 2023, Askofu Dkt. Mbilu ahimiza malezi bora kwa Watoto.
- Details

Sehemu ya salamu za Pasaka za Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu
Nawasalimu katika jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo!
“Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbiko lao waliolala” 1 Wakorintho 15:20.
- Hits: 10962
Askofu Dkt. Mbilu afungua Mkutano Mkuu wa nne baada ya Jubilee ya miaka 125 KKKT-DKMs
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa 4 baada ya Jubilee ya miaka 125 ya Injili KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, leo tarehe 30/03/2023 katika ukumbi wa mikutano wa Benjamin William Mkapa Auditorium KOTETI Magamba.
- Hits: 12549
KKKT-DKMS yapata mjumbe Bodi ya UEM kanda ya Africa.
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amempongeza Mch. Happiness Diu kwa kuchaguliwa kwenye Mkutano Mkuu wa UEM Afrika kuwa mjumbe wa Bodi ya UEM kwa kanda ya Afrika nzima.
- Hits: 11658
UEM AFRICA REGIONAL ASSEMBLY 20TH TO 26 MARCH 2023
- Details

On Wednesday, March 22,2023 the UEM Africa Reginal Assembly was officially opened. The opening service was held at ELCT-ECD Azania Front Cathedral led by Bishop Dr Alex Gehaz Malasusa and Rev Joseph Mlaki. The sermon was given by the UEM Chairman of Africa Reginal Board and Vice Moderator Bishop Rev Dr Mothusi Letlhage.
- Hits: 12741
Page 57 of 137

