ELCT North Eastern Diocese
Askofu Dkt. Mbilu asisitiza uadilifu, uwajibikaji kwa wahasibu na watunzahazina wa KKKT-DKMS
- Details

- Hits: 12450
Watumishi wa KKKT-DKMS watembelea hifadhi ya taifa ya ngorongoro
- Details

Watumishi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki wametembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro pamoja na kufanya Uinjilishaji KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Kati Usharika wa Engarenarok.
- Hits: 12118
Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu atoa wito juu ya umuhimu wa utoaji wa Elimu ya Kikristo Mashuleni
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu amewataka Wachungaji na Mashemasi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, kuja na mpango mkakati wa kutoa Elimu ya Kikristo mashuleni ili kuwafanya wanafuzi wamjue Mungu ili wawe na amani na ndipo mema yatakapowajia.
- Hits: 11523
Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Nchini Hungary
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amekuwa na ziara ya kikazi Nchini Hungary ambapo alihudhuria kikao cha kamati ya Ibada na Muziki ya Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF).
- Hits: 11295
Page 58 of 137

