ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Askofu Mteule Mch. Dr. Msafiri Mbilu na viongozi wengine wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki wamtembelea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Dodoma.

  • Print
Details
Published: 16 January 2021

Askofu Mteule Mch. Dr. Msafiri Mbilu na viongozi wengine wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki pamoja na uongozi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa SEKOMU wamemtembelea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa .

Hits: 19481

Read more ...

Kikao cha Baba Askofu Jimbo la Pwani

  • Print
Details
Published: 10 January 2021

 

Leo tarehe 10/01/2021 Askofu Mteule Mch Dkt Msafiri Joseph Mbilu mara baada ya Ibada katika Usharika wa Kana Jimbo la Pwani,amepata nafasi ya kufanya kikao na baadhi ya wazee wa Kanisa na Wazee maarufu wa Jimbo la Pwani. Kikao kilifanyika katika hostel ya Mbuyu Kenda Tanga lengo likiwa ni kupata maoni ya wazee hao juu ya namna bora ya kuiendeleza na kuiimarisha hostel ya Mbuyukenda.

Hits: 1522

Read more ...

Kikao cha tathmini ya kazi za Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMS)

  • Print
Details
Published: 07 January 2021

Kikao cha tathmini ya kazi za Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMS) ambacho kimeanza kufanyika leo hii tarehe 6-9/01/2021 kimefunguliwa na Dean Mteule  Mch Michael Kanju kwa niaba ya Askofu Mteule Mch Msafiri Joseph Mbilu ambaye katika utangulizi wa semina hii alisoma neno kuu la mwaka KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kutoka kitabu cha Zaburi: 32:8 “Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea;Nitakushauri, Jicho langu likikutazama”.

Malengo ya kikao hiki ni kuweka vipaombele vya Dayosisi kwa mwaka 2021

Hits: 17550

Read more ...

Heri ya Mwaka Mpya 2021_ANZA YOTE KATIKA JINA LA YESU..

  • Print
Details
Published: 01 January 2021

 

Hits: 18651

Read more ...

  1. Pumzika kwa amani Askofu Anthony M. Banzi-Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga.
  2. Salaam za Sikukuu ya Krismass, 2020 Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ASKOFU MTEULE – KKKT –DKMS
  3. Merry Christmas and God’s blessings in the coming New Year 2021
  4. Mahafali ya kumi na moja katika Chuo kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU)

Page 123 of 137

  • 118
  • 119
  • ...
  • 121
  • 122
  • 123
  • 124
  • ...
  • 126
  • 127

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese