ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Msaidizi wa Baba Askofu Mteule Mch. Michael Kanju aambatana na Mratibu wa Misioni na Uinjilisti Mch John Ndimbo kumpokea   Mwl. Christopher Mwakasege

  • Print
Details
Published: 10 February 2021

 

Msaidizi wa  Askofu ,Mch. Michael Kanju ambaye aliambatana na Mratibu wa Misioni na Uinjilisti Mch John Ndimbo. wamepata nafasi ya kumpokea Mwl. Christopher Mwakasege ambaye hapo kesho atapata nafasi ya kushiriki na kufundisha Neno la Mungu katika Mkutano wa wachungaji ulioanza leo tarehe 10/02/2021

uliofunguliwa na Mhe. Askofu mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Dkt. Msafiri Mbilu katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa SEKOMU.

Ikumbukwe Mwl. Christopher Mwakasege atapata nafasi ya kufundisha neno la Mungu katika semina itakayofanyika siku ya Ijumaa tarehe 12/02/2021 Kanisa Kuu Lushoto Cathedral.

 

 

 

Hits: 17097

Happy Anniversary

  • Print
Details
Published: 07 February 2021

Hits: 17643

Read more ...

Hitimisho la Semina elekezi kwa Wakuu wa vituo KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki

  • Print
Details
Published: 05 February 2021

Kaimu katibu Mkuu Mch. Godfrey T. Walalaze leo tarehe 05/02/2021 amehitimisha Semina elekezi ya mafunzo ya kuimarisha Vituo vya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki iliyo anza jana Katika ukumbi wa mikutano Cathedral ambapo amegusia mambo mbalimbali ikiwemo umuhimu wa kuzijua Kanuni, Sheria na Taratibu za Kazi.

Hits: 17514

Read more ...

Idara ya Jinsia na Watoto KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,Yapata uongozi mpya

  • Print
Details
Published: 30 January 2021

Idara ya Jinsia na Watoto KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki imepata uongozi mpya ambao umechaguliwa kuiongoza idara hiyo kwa miaka minne ijayo walio chaguliwa ni Bi. Christina Peter ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Idara, Bi. Mercy Mushi, Makamu Mwenyekiti, Bi. Miriam Mndeme, Mwandishi  na Bi. Flora Luziga, Mhazini.

(KATIKA PICHA NI) Mratibu wa Idara ya Jinsia na Watoto KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Happyness Diu wa pili kulia akiwa na Viongozi wapya, Bi. Flora Luziga wa kwanza kushoto, Bi. Mercy Mushi wa pili kutoka kushoto, Bi. Christina Peter wa tatu toka kushoto (Mwenyekiti wa Idara) na Bi. Miriam Mndeme wa kwanza kulia.

Kwa niaba ya Uongozi huo mpya Mwenyekiti wa Idara Bi. Christina Peter amewashukuru wajumbe wa mkutano huo kwa imani kubwa kwao na kuahidi kufanya kazi hiyo kwa maslahi mapana ya Dayosisi na Kanisa kwa Ujumla.

Hits: 17229
  1. Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Idara ya Jinsia na Watoto KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
  2. Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu pamoja na viongozi wengine wa Dayosisi washiriki Mazishi ya Baba mzazi wa Prof . Christopher Mahonge
  3. ELCA East Africa Global Mission Representative Visits ELCT-NED
  4. Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, aeendelea kutambulishwa

Page 121 of 137

  • 116
  • 117
  • 118
  • 119
  • ...
  • 121
  • 122
  • 123
  • 124
  • ...

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese