ELCT North Eastern Diocese
Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu akiwasili Usharika wa Mlalo
- Details

Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu akiwasili Mlalo kwenye Ibada ya KUINGIZWA KAZINI Mkuu wa Jimbo la Kaskazini Mch. Andeson Moses Kipande.
- Hits: 18264
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, njooni tumwimbie Bwana
- Details

Mahubiri ya Baba Akofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu Leo tarehe 16/05/2021
Ndugu zangu wapendwa katika Bwana. Siku hii ya leo tumeamua iwe siku ya KANTATE DOMINO kutokana na maandalizi yatu ya siku zilizopita. Kimsingi siku hii ni ya kusubiri ahadi ya Baba kutupa Roho Mtakatifu baada ya kupaa kwa Bwana. Lakini tendo lenyewe la uimbaji linaongozwa na huyo Roho wa Mungu pia. Kuimba ni kipawa kutoka kwa Mungu mwenyewe.
- Hits: 19863
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ashiriki Ibada ya kuingizwa kazini kwa Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch.Dkt.Msafiri Joseph Mbilu
- Details
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa pamoja na Maaskofu wapatao 18 wameshiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na Kusimikwa kazini Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mchungaji Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.Waziri Mkuu ameshiriki Ibada hiyo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

- Hits: 17431
Mkuu wa KKKT Askofu Dkt.Fredrick Shoo kuongoza Ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu pamoja na kuingizwa kazini kwa msaidizi wa Askofu Mch .Michael Mlondakweli kanju
- Details

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheru Tanzania , Askofu Dkt.Fredrick Shoo. amewasili Wilayani Lushoto Mkoani Tanga ambapo hapo kesho pamoja na maaskofu wengini ataongoza Ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu pamoja na kuingizwa kazini kwa msaidizi wa Askofu Mch .Michael Mlondakweli kanju.

- Hits: 16333
Page 114 of 137

