ELCT North Eastern Diocese
Ufunguzi wa Mkutano Mkuu KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi-Bukoba Jimbo la Kaskazini (A) Kigarama.
- Details

Askofu Dkt.Msafiri Joseph Mbilu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki leo tarehe 01/07/2021 ameshiriki kwenye Ibada ya ufunguzi wa mkutano mkuu (SINODI) KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi-Bukoba Jimbo la Kaskazini (A) Kigarama.Baba Askofu Dkt Msafiri Mbilu hapo kesho anatarajiwa kutoa mada kutoka kitabu cha Luka 14:28.Baba Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu ndiye mnenaji mkuu katika mkutano huo.
- Hits: 19346
Mwendelezo wa Ziara ya Mch Michael Mlondakweli Kanju KKKT Dayosisi ya Karagwe.
- Details
Msaidizi wa Askofu KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Michael Mlondakweli Kanju ametoa pongezi kwa wafanyakazi wa vituo vya Nyumba ya masista (Nkwenda Mother House), Chuo cha Maarifa ya nyumbani Nkwenda,Shule ya msingi Tumshubire pamoja na Chuo cha Biblia Nkwenda kwa kazi nzuri wanayoifanya katika uendeshaji na utunzaji wa vituo hivyo

- Hits: 18050
Page 109 of 137



