ELCT North Eastern Diocese
Mchungaji Thadeus A. Ketto aingizwa kazini kuwa Mkuu wa Jimbo la Pwani
- Details

Mchungaji Thadeus A. Ketto ameingizwa kazini kuwa Mkuu wa Jimbo la PWANI KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ikumbukwe katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Dayosisi kilichofanyika tarehe 26/11/2020 kilimchagua Mchungaji Thadeus A. Ketto kuwa Mkuu wa Jimbo kwa kufuata Kanuni ya VIII ya Katiba ya KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
- Hits: 15957
Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki aweka jiwe la msingi Usharika wa Kange mtaa wa Maweni.
- Details

Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki leo tarehe 12/06/2021 ameweka jiwe la msingi katika Usharika wa Kange mtaa wa Maweni.
- Hits: 17915
Ziara ya Baba Askofu Dkt.Msafiri Joseph Mbilu ,Irente Rainbow School,Irente School for the Blind pamoja na kituo cha Irente Children’s Home
- Details

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewashukuru walimu pamoja na wafanya kazi wa vituo vya Irente Rainbow School,Irente School for the Blind, pamoja na kituo cha Irente Children’s Home kwa namna wanavyoendelea kuwahudumia watoto katika vituo hivyo.
- Hits: 16534
Page 111 of 137


