ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Kabuku, Jimbo Teule la Magharibi

  • Print
Details
Published: 17 September 2023
Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki  Mch. Michael Mlondakweli Kanju amewaasa Washarika wa Kabuku, Jimbo teule la Magharibi na Wakristo kwa ujumla  kuchora alama ya msalaba mioyoni mwao na kumkaribisha Yesu katika maisha yao na waache kuangalia ukubwa wa tatizo na badala yake wamwangalie Yesu. Pia amesema wakianguka na kushindwa wasizame kwenye dhambi bali waamke na kuutafuta uso wa Bwana.
Hits: 10146

Read more ...

MATUKIO KATIKA PICHA- Kutoka Usharika wa Źory nchini-Poland

  • Print
Details
Published: 17 September 2023

Matukioa katika picha Ibada ya Jumapili ya tarehe 17/09/2023, katika  Usharika wa Źory  nchini Poland, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ambapo  kutoka Bara la Afrika ni  Mjumbe pekee  kwenye Kamati ya Ibada na Muziki kwenye mkutano Mkuu wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF) unaoendelea nchini Poland .Wajumbe wa Mkutano huo  wamepata nafasi ya kushiriki Ibada ya Jumapili  kwenye sharika mbalimbali. Ujumbe mkuu wa Mkutano huu ni kutoka kitabu cha Waefeso 4:4-6 "MWILI MMOJA, ROHO MMOJA, TUMAINI MOJA".

Hits: 9972

Askofu Dkt. Mbilu kuongoza nyimbo za utamaduni wa Kiafrika Mkutano Mkuu wa LWF.

  • Print
Details
Published: 13 September 2023
 
Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri (LWF) Duniani, ambao ni chombo cha juu cha maamuzi unao ongozwa na kauli mbiu isemayo MWILI MMOJA, ROHO MMOJA, TUMAINI MOJA “Waefeso 4:4-6”. unafunguliwa katika Mji wa Krakow Poland leo tarehe 13/09/2023.
Mkutano huu utakuwa na jukumu la kumchagua Rais mpya wa Fungamano na Wajumbe wa Kamati mbalimbali. Rais anayemaliza muda wake ni Askofu Dkt. Panti Filibus Musa wa Kanisa la Kilutheri Nigeria.
 
Kutoka Bara la Afrika, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ni Mjumbe wa Kamati ya Ibada na Muziki iliyoteuliwa kuandaa Mkutano huu na atashiriki kuongoza nyimbo za utamaduni wa Kiafrika.Kamati hii iliundwa mwaka 2021 na ofisi ya Katibu Mkuu wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani ambayo makao Makuu yake yapo Geneva Uswis. Kamati hii ina wajumbe kumi kutoka Ujerumani,Canada,Norway,Hungary,Poland,Hong Kong,USA,Brazil,Switzeland na Africa ambapo mjumbe muwakilishi ni Askofu Dkt. Msafiri Mbilu. 
 
Hata hivyo, Mkuu wa KKKT Baba Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo anawakilisha Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania akiambatana na Katibu Mkuu KKKT Mhandisi Robert Kitundu na wajumbe wengine 10 kutoka makundi mbalimbali kama vile Vijana na Wanawake.
 
 
Hits: 9646

Askofu Dkt. Msafiri Mbilu, nyumbani kwa Dean Mstaafu Mzee Amasia Mweta.

  • Print
Details
Published: 02 September 2023

Leo tarehe 02 Septemba,2023, Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu,amemtembelea Dean Mstaafu  wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Amasia Mweta, nyumbani kwake Mpalalu-Bumbuli.

Hits: 10033
  1. Ibada ya Kipaimara Jimbo la Kusini ,Usharika wa Irente.
  2. Maadhimisho ya Miaka 60 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yafana.
  3. Contact Us
  4. Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)

Page 47 of 137

  • 42
  • 43
  • 44
  • ...
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • ...
  • 51

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese