ELCT North Eastern Diocese
Picha ya pamoja mara baada ya Mkutano wa Halmashauri ya Utumishi ya KKKT
- Details

Walioketi ni Katibu Mkuu wa KKKT, Bw. Rogathe Mollel, Askofu wa KKKT-DKMS ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Halmashauri hii ya Utumishi ya KKKT Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, pamoja Katibu Mkuu Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Shinyanga Bi. Happiness Geffi ambaye ndiye Katibu Mwandishi wa Halmashauri ya Utumishi KKKT. Mkutano huu umefanyika tarehe 16/01/2025 katika Ukumbi wa New Safari Hotel Arusha.
- Hits: 7114
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi aitembelea KKKT-DKMs
- Details

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu,akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe.mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Mkao Makuu ya KKKT-DKMs Lushoto Tanga.
- Hits: 7031
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Halmashauri Kuu ya KKKT-DKMs watembelea kituo cha Irente Children's Home pamoja na Irente School for the Blind
- Details

Tarehe 28/11/2024 Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Halmashauri Kuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki walipata nafasi ya kutembelea kituo cha Malezi bora ya Watoto Irente (Irente Children's Home) pamoja na Shule ya Watoto wasioona (Irente School for the Blind) ambapo walipata nafasi yakuona miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo ukarabati wa Majengo pamoja na ujenzi wa Green House.
- Hits: 7833
Page 14 of 136




