ELCT North Eastern Diocese
Dean Mteule Mntangi asisitiza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu kupewa kipaumbele katika jamii
- Details

Viongozi mbalimbali wa serikali, dini pamoja na wataalam wa Elimu ya watu maalum wenye ulemavu wametakiwa kusimamia na kuhimiza haki na usawa wa kielimu kwa kushirikiana na jamii ili kuondoa dhana potofu katika jamii kuwa watu wenye ulemavu hawana uwezo wa kufanya jambo lolote katika jamii kwasababu ya hali waliyonayo.
- Hits: 6007
Opening Ceremony Disability Sensitization Workshop
- Details

CLICK THE LINK BELOW
Opening Ceremony Disability Sensitization Workshop
- Hits: 6276
Ziara ya kikazi ya Askofu Dkt. Mbilu Vituo vya huduma Irente
- Details

Leo tarehe 04/06/2025 Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ametembelea Kituo cha Irente Children’s Home kwa lengo la kukagua zoezi la ukaratabati wa Miundombinu ya bweni la wanafunzi wanaosoma kozi ya Elimu ya Awali na Malezi Bora katika kituo hicho kinacho milikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
- Hits: 6046
Page 9 of 136


