ELCT North Eastern Diocese
SEMINA YA UANZISHWAJI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI
- Details
Leo tarehe 13/02/2020 kumekuwa na mwendelezo wa semina ya uanzishwaji wa Kampuni ya uwekezaji ya Dayosisi ya Kaskazini Mashariki KKKT (NEDICO- North Eastern Diocese Investment Company) ambayo inatolewa katika awamu nyingine kwa mfululizo wa siku mbili 13-14/2020 na kuhusisha Wakuu wa Vituo, Waratibu wa Idara, Wachungaji kadhaa wa Sharika, Wakurugenzi, Wakuu wa Dinari na Uongozi wa Dayosisi.

Semina hiyo inaratibiwa na Ofisi Kuu ya DKMs KKKT na wawezeshaji wa mafunzo toka KKKT (LUICO- Lutheran Investment Company) inafanyika katika hostel ya Mbuyu Kenda , iliyopo Mkoani Tanga. Awali semina kama hii ilifanyika Januari 17, 2020.
- Hits: 23142
The second General Assembly of Women Pastors Association - 2019
- Details
On 12th January 2019, the second General Assembly of the Women Pastors Association was held at Tumaini restaurant in Lushoto, which was attended by Women pastors and Deacons. The main theme of the meeting is to conduct an election of the new Women Pastors Association Leaders for the year 2019-2020.

The meeting was opened by the Asisstant to the Bishop Dr. Ebehardt Ngugi with the word of God from the book of Judges 4: 17-24 .
- Hits: 2064
The Deputy Minister visits Irente Children’s Home
- Details
Hon. Dr. Faustine Ndugulile (MP) Deputy Minister of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children in Tanzania visits Irente Children’s Home on 29th November 2018.
- Hits: 2583
Page 128 of 137


