ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Mtonga,, Youths Confirmation at Mtonga Lutheran Parish

  • Print
Details
Published: 25 November 2023

MATUKIO KATIKA PICHA: Askofu wa KKKT -Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, Tarehe 25/11/2023 akiwa katika Jimbo la Tambarare Usharika wa Mtonga aliongoza Ibada iliyokuwa na tendo la kuwabariki Vijana wa Kipaimara,Ibada hiyo ilitanguliwa na ufunguzi wa nyumba ya mtumishi.

Hits: 10003

Read more ...

Pumzika kwa Amani, Askofu Mstaafu Dkt. Erasto Kweka

  • Print
Details
Published: 25 November 2023

Uongozi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, unatoa pole kwa Baba Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo Mkuu wa KKKT na Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini,kufuatia kifo cha Askofu Mstaafu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini, Dkt. Erasto Kweka, kilichotokea tarehe:25/11/2023.

Uongozi unatoa pole kwa familia, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Dayosisi ya Kaskazini ,Wakuu wa Majimbo wa Dayosisi ya Kaskazini, Wakuu wa Idara zote  za Dayosisi Wachungaji wote wa Dayosisi ya Kaskazini pamoja na  Washarika wote wa Dayosisi ya Kaskazini.

 BWANA ametoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

Hits: 12340

Read more ...

Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Mbilu,katika Jimbo la Tambarare, Usharika wa Mtonga

  • Print
Details
Published: 24 November 2023

Askofu wa KKKT -Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, Tarehe 24 / 11 / 2023 ameanza ziara yake ya Kikazi Katika Jimbo la Tambarare Usharika wa Mtonga na kuongoza Ibada zilizokuwa na matendo mbalimbali ikiwemo uwekaji wa jiwe la ufungizi wa Kanisa Mtaa wa Ngua,Ibada ya kuweka jiwe la msingi la Kanisa Mtaa wa Tabora, Ibada ya kuwabariki Vijana wa Kipaimara katika Mtaa wa Sayuni na ufunguzi wa Kongamano la ITA NAE ATAITIKA linalofanyika katika Senta ya Usharika wa Mtonga.

Hits: 10312

Read more ...

Askofu Dkt. Mbilu, awataka wanafunzi wa Chuo Cha Biblia Vuga kuzingatia msingi wa Kanisa.

  • Print
Details
Published: 20 November 2023
 
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amewataka wanafunzi wa Chuo cha Biblia Vuga kuendelea kufuata mafundisho yenye mafafanuzi sahihi wanayoyapata Chuoni hapo yanayozingatia taratibu na misingi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Hits: 9449

Read more ...

  1. Ibada ya Kipaimara Usharika wa Ngulwi-B , Youths Confirmation at Ngulwi BLutheran Parish
  2. NAFASI YA KAZI RADIO TECHNICIAN (1)
  3. NAFASI YA KAZI PROCUREMENT OFFICER (I)
  4. NAFASI YA KAZI MTOA TIBA KWA VITENDO(OCCUPATIONAL THERAPIST)(1)

Page 40 of 137

  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese