ELCT North Eastern Diocese
"Heri ya Krismas"
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewataka Wakristo kumpokea Yesu na kumkaribisha mioyoni mwao ili afanyike Nuru katika maisha yao na kuondoa giza na matendo yasiyofaa ambayo ni chukizo mbele za Mungu yaliyo tanda katika ulimwengu na kuwasihi kumpokea Yesu Kristo ambaye ni nuru ya ulimwengu.
- Hits: 10054
Askofu Dkt. Mbilu awataka wana Lushoto kuchangamkia fursa za kibiashara.
- Details

- Hits: 9155
Watumishi wa Mungu watakiwa kuwa mfano mzuri kwa watu wanaowaongoza
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch, Dkt Msafiri Joseph Mbilu amewataka wachungaji na watumishi kutambua kua wanapoitwa kumtumikia Mungu katika huduma yao wanaitwa wao pamoja na wenzi wao ili kuibeba huduma hiyo ambayo Mungu amewaitia.
- Hits: 10449
TANZIA-Mchungaji Mstaafu Edward Jani, afiwa na Mke wake
- Details

Ufunuo 14:13 “Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao”
Katibu Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mwl. Julius Madiga kwa niaba ya Uongozi wa KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki anasikitika kutangaza kifo cha Mwj. Ridas Edward Jani kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 17/12/2023 nyumbani kwa marehemu Majengo Juu Hale.
- Hits: 10685
Page 38 of 137

