ELCT North Eastern Diocese
Kilele mwaka wa Wanawake Askofu Dkt. Mbilu awapongeza kwa kujitoa
- Details

MATUKIO KATIKA PICHA: Ibada ya Jumapili siku ya Bwana ya 5 kabla ya Pasaka siku ya kuondoa ukatili, iliyofanyika KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto. Ibada hii ilikuwa na matendo mkuu mbalimbali ikiwemu tendo la kufunga mwaka wa Wanawake wa KKKT-DKMs uliozinduliwa 06/03/2022 pamoja na Jubilee ya miaka 25 ya utumishi ya Mchungaji Alice Kopwe na Mch Neema Kamendu.Ibada iliongozwa na inaongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu. 25/02/2024. Unaweza kutazama Ibada hii kwa kubonyeza link hii hapa chini.
- Hits: 8876
Habari njema kutoka BUMBULI
- Details
TANGAZO
MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI YA KILUTHERI YA BUMBULI ILIYOPO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUMBULI MKOANI TANGA INAYOMILIKIWA NA KKKT-DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI ANAWATANGAZIA KUWA KUTAKUWA NA ZOEZI LA MATIBABU YA MACHO LITAKALO FANYIKA KUANZIA TAREHE 04-08/03/2024 KATIKA HOSPITALI, ZOEZI HILI LITAFANYWA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TANGA- BOMBO
GHARAMA ZA MATIBABU NI KAMA IFUATAVYO
UANDIKISHAJI WA KADI 3,000
UPASUAJI WA MTOTO WA JICHO 50,000
MIWANI YA KUSOMEA 15,000
DAWA YA MACHO 3,000
- Hits: 9798
Dean Kanju awashukuru wana KKKT-DKMs, awataka kuwapuuza wapotoshaji juu ya Deni la Dayosisi
- Details

Msaidizi wa Askofu, KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dean Michael Mlondakweli Kanju amewashukuru Washarika wa Usharika wa Soni Mtaa wa Kwang’wenda kwa namna wanavyoendelea kujitoa kwa hali na mali katika kumtumikia Mungu sambamba na uchangiaji wa deni linaloikabili Dayosisi.
- Hits: 11058
Job Opportunity Director of Social services at ELCT -NED head office Lushoto1 Position
- Details

THE EVANGELICAL LUTHERAN CHURCH IN TANZANIA-NORTH EASTERN DIOCESE (ELCT – NED)
EMPLOYMENT OPPORTUNITY
Applications are invited from suitably qualified candidates to fill vacant position of Director of Social services at ELCT -NED head office Lushoto
Job title: Director of Social services (1Position)
Nature of Work:
Performs a variety of administrative, technical and professional work in preparation and implementation of education, health and a diaconic programs and services within the NED.
This is full time position a director is responsible for working closely with Heads of Departments and Education, Women and Children, Gender, Youth and Students in North Eastern Diocese.
Essential Duties and Responsibilities:
- Directs social services and the goals and objectives of the Diocese.
- Responsible for long term and short term strategic social services plans in the Directorate including Education, Health and diaconal, youth and TSCF and Gender and Children.
- Visit Institutions and advice on different issues concerning Administration and Management.
- Participate in all boards and committee meeting as an ex-official.
- Developing projects proposal concerning social services and seek source of income to fund them.
- To build strong relationship between Diocese and other stakeholders including preparing and implementation of memorandum of understanding and other partnership contracts.
- Undertake other duties assigned by the General Secretary
Training and Experience Required:
- Considerable experience at least 5 years in social services, including administrative capability.
- Masters holder, preferably with specialization in social services, Participatory Project Management in Community Development, Healthcare, Special Education or any relevant diaconic studies.
- Considerable knowledge of diaconical management.
- Ability to communicate effectively to groups and individuals, businesses, supervisors, employees, and the general public.
- Ability to establish working relationships with other organizations and social services partners.
- Ability to prepare and analyze reports and data, and have skill in the operation of necessary tools and equipment, i.e. computer, word processing, spreadsheet software, and general office equipment.
Remuneration: Attractive
Contract period: The holder of this position will be offered a contract of two years- renewable
Mode of Application:
Interested candidate should send their applications enclosing photocopies of certificates, curriculum vitae, telephone number and contact addresses of three referees to the address below via This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. to
General Secretary
Evangelical Lutheran Church in Tanzania- North Eastern Diocese
P.O Box 10 Lushoto-Tanga
Tel.0272660027 0786 364489
The closing date for receiving application is 16/02/2024 at 16.00 hours.
- Hits: 16301
Page 35 of 137

