ELCT North Eastern Diocese
Askofu Dkt. Mbilu afungua Kongamano la Maombi Kanda ya Kaskazini
- Details

- Hits: 10667
Askofu Dkt. Mbilu azindua mwaka wa Wanaumi KKKT-DKMs
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, (KKKT-DKMs) Mch Dkt. Msafiri Josephu Mbilu, amewataka Wanaume wa KKKT- Dayosisi ya Kasikazini Mashariki kujitoa katika kukamilisha mipango na malengo waliyojiwekea katika mwaka wao huku akiwataka kuwa mstari wa mbele katika kusimamia maadili mema ikiwa ni pamoja na kukemea ndoa za jinsia moja, huku akiwataka wanaume wa Dayosisi hiyo kijitoa na kuhudhuria katika Ibada na kushiriki katika maswala mazima ya uimbaji wa kwaya.
- Hits: 10109
Hakuna Mungu wa eneo moja bali Mungu ni wawote Askofu Mbilu.
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Msafiri Joseph Mbilu, leo tarehe 16/03/2024, ameongoza Ibada ya ufunguzi wa Usharika mpya Mteule wa Saunyi uliopo katika Jimbo la Magharibi, Ibada iliyoambatana na tendo la kuwabariki vijana wa Kipaimara 201 pamoja na kufungua nyumba ya Mtumishi.
- Hits: 9720
Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Mbilu, Usharika wa St. Marien Minden nchini Ujerumani
- Details

- Hits: 9245
Page 33 of 137

