Leo tarehe 30/10/2021 Imekuwa siku ya baraka tele kwa washarika wa Usharika wa Hale Jimbo la Tambarare kwani vijana wapatao 164 walipata kipaimara na sita 6 kati yao walibatizwa.

Liturgia katika Ibada hiyo iliongozwa na Mzaidizi wa Askofu KKKT-DKMs Mch. Michael Mlondakweli Kanju, na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ndiye aliye ongoza Ibada hiyo.