Print

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya Kilutheri yaliungana na kuunda Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Leo hii KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) yenye Makao Makuu yake Wilayani Lushoto Mkoani Tanga ni miongoni mwa Dayosisi 28 za KKKT.

Dayosisi hii inaitwa hivyo kwakuwa inapatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Tanga. Kwahiyo KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ni Taasisi ya dini iliyosajiliwa tarehe 19 Juni 1963 na Makao yake Makuu yapo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Dhamira ya KKKT-DKMs ni kufundisha na kuhubiri neno la Mungu na kutoa huduma nzuri za kiroho, kimwili, kiakili, kiuchumi na kijamii kwa watu wote. Taasisi hii inatangaza nafasi moja ya kazi ya MENEJA WA SHAMBA KATIKA KITUO CHAKE CHA IRENTE FARM.

Shamba la Irente Farm lenye ukubwa wa ekari (acres) 507 ni Kituo cha mfano cha kilimo endelevu kinacholenga kuendeleza uzalishaji wa kisasa, kuongeza tija, na kuchangia maendeleo katika Kanisa na jamii kupitia mbinu bora za kilimo na ufugaji. Ili kuimarisha ufanisi na ubora wa huduma zake ikiwemo huduma za Malazi (Hotel/Lodge), Kiwanda Kidogo cha Maziwa na Uzalishaji wa Jam na asali,Mazao ya misitu na nyuki,mikate ya  asili ya Irente (Brown bread) ,pamoja na hayo, Irente Farm ni eneo ambalo linatunza uanuwai wa viumbe hai (biodiversity) kwa kuhifadhi miti ya asili  hivyo basi Dayosisi inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye sifa stahiki, uadilifu, na moyo wa kuhudumu katika nafasi hii.

Majukumu ya Kazi

Sifa za Mwombaji

Mwombaji anatakiwa kuwa na:

 

Katibu Mkuu KKKT-DKMs
S.L.P 10,
LUSHOTO TANGA
Kupitia email
:  This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

Hits: 867