Print

Askofu wa KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu,leo tarehe 18/01/2022 ameongoza Ibada ya mazishi ya  marehemu Mama. Damaris Appelesy Ketto,mama mzazi wa Mkuu wa Jimbo la Pwani, Mch Thadeus A. Ketto ,

Ibada hiyo imefanyika katika Usharika wa Mtonga jimbo la tambarare.marehemu Mama. Damaris Appelesy Ketto aliitwa mbinguni jioni tarehe 14/01/2022. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

Hits: 13818