Print

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu leo tarehe 28/12/2021 amepata nafasi ya kufanya mazungumzo na Mch. P. Butiku toka Sinodi rafiki ya Southeastern Pennsylvania Synod, USA akileta Salam rasmi kutoka kwa Askofu Patricia Davenport Mkuu wa Sinodi hiyo. Katika ujumbe wa salam za Askofu Davenport alikaza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na urafiki.

Hata hivyo Askofu Dkt. Msafiri Mbilu alipata nafasi ya kumtembelea Mama Anna Mkapa, Mke wa Rais wa awamu ya tatu hayati Benjamin William Mkapa.

  Mch. P. Butiku akimkabidhi zawadi kutoka kwa Askofu Patricia Davenport, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu

 

 

Hits: 14367