Leo tarehe 26/12/2021 Imekuwa siku ya baraka tele kwa washarika wa Usharika wa Mlalo Jimbo la Kaskazini ambapo kijana mmoja alipata kipaimara na Watoto 29 walibatizwa, Liturgia katika Ibada hiyo iliongozwa na Msaidizi wa Askofu KKKT-DKMs Mch. Michael Mlondakweli Kanju.

na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ndiye aliye ongoza Ibada hiyo. Ibada ilihudhuriwa na Wachungaji, Wainjilisti,Mashemasi,Kwaya,Washarika pamoja na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Usharika wa Mlalo.




DEAN, MCH. MICHAEL MLONDAKWELI KANJU

