Print

 

Askofu mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki  Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akisaini kitabu cha wageni na kutoa rambirambi, wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi ya Askofu Anthony M. Banzi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga. Leo Jumanne Desemba 29,2020.Hayati Askofu Antony Banzi aliaga Dunia Jumapili ya tarehe 20 Desemba 2020.BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA libarikiwe.

 

Hits: 19183