ELCT North Eastern Diocese
Askofu Dkt. Mbilu aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya KKKT-DKMs
- Details
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya KKKT-DKMs na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs), Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya KKKT-DKMs katika ukumbi wa mikutano, Utondolo Lushoto Tanga leo tarehe 26, Machi 2024.
- Hits: 201
NAFASI YA KAZI DAKTARI DARAJA LA II
- Details
Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya Kilutheri yaliungana na kuunda Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania . Leo hii KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) ni miongoni mwa Dayosisi 28 za KKKT. Dayosisi inaitwa hivyo kwakuwa inapatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Tanga. Kwahiyo KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) ni taasisi ya kidini iliyosajiliwa tarehe 19 Juni 1963 na Makao yake Makuu yapo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Dhamira ya KKKT-DKMs ni kufundisha na kuhubiri neno la Mungu na kutoa huduma nzuri kiroho, kimwili, kiakili, kiuchumi na kijamii kwa watu. Taasisi hii inatoa tangazo la kazi kwa nafasi ifuatayo:
DAKTARI DARAJA LA II
Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu kutoka Vyuo vikuu/ Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Waombaji wawe wamemaliza mafunzo ya kazi “internship” ya muda usiopungua mwaka mmoja na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
- Hits: 316
VACANCY ANNOUNCEMENT-Hotel Managers at Tumaini- Lushoto and Mbuyukenda - Tanga
- Details
EVANGELICAL LUTHERAN CHURCH IN TANZANIA
NORTH EASTERN DIOCESE
P.O.BOX 10 (TEL. 027-2660027/FAX 027-2660092) LUSHOTO
E-mail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Applications are invited from suitably qualified candidates to fill vacant position of Hotel Managers at Tumaini- Lushoto and Mbuyukenda - Tanga.
Hotel Managers Job – 2 Positions
A hotel manager oversees all operations and day-to-day activities in a hotel organization. They take on a variety of duties including managing everything from accounting, sales, business development and customer service. Also referred to as a Hotel operations Manager.
Hotel Manager Job Description
We are seeking a professional and customer-focused hotel manager to oversee our hotel operations. In this position, you will direct the day-to-day operations and activities at your allocated hotel location. Your duties will include managing personnel, collecting payments, monitoring budgets, and evaluating hotel performance.
To excel in this role, you must be approachable and detailed-oriented with proven hospitality or management work experience. Our ideal candidate will also demonstrate excellent communication and interpersonal skills.
- Hits: 340
Askofu Dkt. Mbilu afungua Kongamano la Maombi Kanda ya Kaskazini
- Details
- Hits: 337
Page 1 of 105